Amina Salum Ali

Amina Salum Ali (alizaliwa 24 Oktoba 1956)[1] ni mwanamke mtanzania aliyewahi kuwa balozi wa Umoja wa Afrika huko Marekani tangu mwaka 2007.[2]

Amina Salum Ali


Balozi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani
Aliingia ofisini 
26 Julai 2007
Muda wa Utawala
1990 – 2000
Rais Salmin Amour

tarehe ya kuzaliwa 24 Oktoba 1956 (1956-10-24) (umri 63)
Sultanate of Zanzibar
mhitimu wa University of Delhi (BA)
University of Pune (MBA)
tovuti aminasali.com

Maisha yakeEdit

Amina Salum Ali alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya sekondari Lumumba. Katika elimu yake ya juu alisomea masuala ya uchumi katika chuo kikuu cha Delhi (University of Delhi).Pia alipata shahada yake ya uzamivu katika masuala ya biashara- masoko kutoka chuo kukuu cha Pune (University of Pune).

Maisha yake ya siasaEdit

Mnamo Juni 2015, alitangaza kuwania ngazi ya Urais ndani ya chama chake cha CCM katika Uchaguzi mkuu wa 2015.[3]

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  • Why Amina Salum Ali eyes union presidency, Daily News, June 2015.
  •   Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Amina Salum Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.