Mkorosho
(Anacardium occidentale)
Mkorosho
Mkorosho
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots(Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimeakama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Anacardiaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkorosho)
Jenasi: Anacardium
L.
Spishi: A. occidentale
L.

Mkorosho, pia mbibo au mkanju (Anacardium occidentale), ni mti unaozaa korosho, moja baina ya jozi za kulika zinazopendwa kabisa. Kokwa haimo ndani ya tunda lakini inaambata chini lake. Matunda yanaitwa mabibo au makanju pia.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkorosho kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.