Anakonda
Anakonda kijani (Eunectes murinus)
Anakonda kijani (Eunectes murinus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Serpentes (Nyoka)
Familia: Boidae
Nusufamilia: Boinae
Jenasi: Eunectes
Wagler, 1830
Ngazi za chini

Spishi 4:

Anakonda ni nyoka wakubwa sana wa jenasi Eunectes katika familia Boidae. Anakonda kwa umbile ni mkubwa zaidi ya chatu lakini wanafanana katika kutafuta mawindo yao kwani wote huvizia viumbehai wengine wapite katika mazingira yao kwa karibu na kuwaweka katika mtego kwa ajili ya kujipatia chakula.

Anapatikana Amerika Kusini ya kitropiki hususani katika Msitu wa Amazoni huko Brazil.

Spishi hariri

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anakonda kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.