Andrea Belotti

Andrea Belotti (amezaliwa 20 Desemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji kwa Torino, na pia yeye ni nahodha wa timu ya taifa ya Italia.

Andrea Belotti

Belotti alianza kazi yake ya uchezaji na klabu iitwayo Albino Leffe. Baadaye alisainiwa na Palermo, ambapo alishinda cheo cha Serie B katika msimu wa 2013-14, kabla ya kusainiwa na Torino mwaka 2015.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Belotti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.