Andrzej Józwowicz

Andrzej Józwowicz (alizaliwa 14 Januari 1965) ni prelati wa Polandi wa Kanisa Katoliki ambaye alijiunga na huduma ya kidiplomasia ya Vatikani mwaka 1997 na kwa sasa ni Balozi wa Kitume (Apostolic Nuncio) nchini Iran.

Andrzej Józwowicz

Akiwa askofu mkuu tangu 2017, aliwahi kuwa Balozi wa Kitume nchini Rwanda kuanzia 2017 hadi 2021.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Pontificia Accademia Ecclesiastica, Ex-alunni 1950 – 1999" (kwa Kiitaliano). Pontifical Ecclesiastical Academy. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.