Aneto ni mlima wa Pirenei (Ulaya), katika nchi ya Hispania.

Mlima Aneto, upande wa Kaskazini

Urefu wake ni mita 3,404 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aneto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.