Angela Perez Baraquio

Angela Perez Baraquio Grey (aliyezaliwa Juni 1, 1976), [1] anafahamika kwa jina lake la kuzaliwa la Angela Perez Baraquio, [2] ni mwalimu Mmarekani. Alikuwa mshindi wa Miss America 2001 tarehe 14 Oktoba 2000 huko Atlantic City , New Jersey, akiwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mwenye asili ya Asia, Mfilipino, na mwalimu wa kwanza kushinda taji hilo.

Marejeo

hariri
  1. http://www.tvbuzer.com/celebrity/Angela-Perez-Baraquio
  2. http://www.angelaperezbaraquio.com/