Angelo Davoli (12 Novemba 1896 - 13 Februari 1978) alikuwa mwanariadha wa Italia wa mbio za masafa ya kati ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya mwaka 1924.[1][2]

Majina ya kitaifa

hariri

Alishinda mara nane (8) katika mashindano ya kitaifa kwenye ngazi ya watu wazima.[3]

Mashindano ya Riadha ya Italia

1500 mita: 1927

5000 mita: 1924, 1926

3000 mita kuruka viunzi: 1928, 1930

Mbio za nyika (Cross country): 1923, 1924, 1926

Marejeo

hariri
  1. "Italy Athletics at the 1924 Paris Summer Games". sports-reference.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Angelo Davoli". Olympedia. Iliwekwa mnamo 17 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "CAMPIONATI "ASSOLUTI" – UOMINI TUTTI I CAMPIONI – 1906-2016" (PDF). sportolimpico.it. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)