Anna Anvegård (amezaliwa 10 Mei 1997) ni mchezaji wa soka wa Uswidi ambaye anacheza kama mshambuliaji katika timu Everton F.C. na timu ya taifa ya Uswidi.[1][2][3]

Mchezaji wa Soka Anna Anvegård
Mchezaji wa Soka Anna Anvegård

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. 2016-11-04. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 2021-11-23. 
  2. "Anna Anvegård - Spelarstatistik - Svensk fotboll". www.svenskfotboll.se. (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2021-11-23. 
  3. Nyheter, S. V. T.; Magnusson, Peter (2018-06-01), "Anna Anvegård – en fotbollsresa utan motgångar", SVT Nyheter (kwa Kiswidi), iliwekwa mnamo 2021-12-03