Annapurna II ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,937 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Annapurna II, upande wa Kaskazini

Kilele chake kipo katika nchi ya Nepal.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Annapurna II kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.