Safu ya milima ni msururu wa milima iliyokaribiana[1]. Milima hiyo hutenganishwa na nyanda za juu au mabonde.

Safu ya Nyandarua kutoka Mbuga ya Kitaifa ya Aberdare

Mifano ya safu za milima ni kama vile, Safu ya Aberdare, Milima Atlas, Alpi na Himalaya. Safu nyingi za milima duniani zilitokea kama milima kunjamano.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mountains Information and Facts". Iliwekwa mnamo 2018-04-28. {{cite web}}: Text "National Geographic" ignored (help)
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.