Antelao ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima Antelao, upande wa Magharibi

Urefu wake ni mita 3,264 juu ya usawa wa bahari, hivyo na wa pili kati ya milima yote ya Dolomiti.

Tazama pia hariri