Antisana ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 5,758 juu ya usawa wa bahari.