Orodha ya milima ya Andes
Orodha ya milima ya Andes inataja baadhi ya milima mirefu zaidi katika safu ya milima ya Andes. Orodha inakwenda toka kaskazini hasi kusini mwa bara la Amerika Kusini.
- Pico Bolívar (m 4,981), Venezuela
- Pico Pan de Azucar (m 4680), Venezuela
Andes ya Kolombia
hariri- Pico Cristóbal Colón (m 5,775), Kolombia
- Pico Simon Bolivar (m 5,775), Kolombia
- Ritacuba Blanco (m 5,410), Kolombia
- Nevado del Huila (m 5,365), Kolombia
- Nevado del Ruiz (m 5,321), Kolombia
- Nevado del Tolima (m 5,215), Kolombia
- Pico Pan de Azucar (El Cocuy) (m 5,120), Kolombia
- Santa Isabel (m 4,950), Kolombia
- Nevado Cumbal (m 4,764), Kolombia
- Purace (m 4,650), Kolombia
- Cerro Negro de Mayasquer (m 4,445), Kolombia
- Galeras (m 4,276), Kolombia
- Azufral (m 4,070), Kolombia
- Chimborazo (m 6,267), Ecuador
- Iliniza Sur (m 5,263), Ecuador
- Iliniza Norte (m 5,116), Ecuador
- Carihuairazo (m 5,018), Ecuador
- Cotacachi (m 4,944), Ecuador
- Corazón (m 4,782), Ecuador
- Pichincha (m 4,776), Ecuador
- Chiles (m 4,723), Ecuador
- Atacazo (m 4,455), Ecuador
- Cotopaxi (m 5,897), Ecuador
- Cayambe (m 5,790), Ecuador
- Antisana (m 5,758), Ecuador
- El Altar (m 5,319), Ecuador
- Sangay (m 5,230), Ecuador
- Tungurahua (m 5,023), Ecuador
- Sincholagua (m 4,873), Ecuador
- Cerro Hermoso (m 4,571), Ecuador
- Sumaco (m 3,780), Ecuador
- Reventador (m 3,562), Ecuador
Milima ya Interandino, Ecuador
haririAndes ya Peru
hariri- Huascaran (m 6,768), mlima wa juu katika Peru
- Nevado Mismi (m 5,597), Peru
- Cerro Bravo (m 3,923), Peru
- Nevado Sajama (m 6,542), mlima wa juu wa Bolivia
- Illimani (m 6,438), Bolivia
- Ancohuma (m 6,427), Bolivia
- Illampú (m 6,368), Bolivia
- Huayna Potosi (m 6,088), Bolivia
- Chachacomani (m 6,074), Bolivia
- Pico del Norte (m 6,070) Bolivia
Andes ya Kusini
hariri- Llullaillaco (m 6,738), Ajentina / Chile
- Ojos del Salado (m 6,891), mlima wa juu nchini Chile, wa pili kati ya vilele vya Andes
- Monte Pissis (m 6,774), Ajentina
- Cerro Mercedario (m 6,720), Ajentina
- Aconcagua (m 6,962), Ajentina, mlima wa juu nje ya Asia
- Volcán Antuco (m 3,585), Chile
- Villarrica (m 2,847), Chile
- Lanin Volcano (m 3,776), Ajentina / Chile
- Tronador (m 3,491), Ajentina / Chile
- Cerro San Valentin (m 4,058), Chile
- Cerro Torre (m 3,133), Patagonia, Ajentina / Chile. Ni miongoni mwa milima migumu kupandwa katika dunia nzima
- Fitz Roy (m 3,375), Ajentina / Chile
- Monte Sarmiento (m 2,300), Chile