Anton Josef Gruscha
Anton Josef Gruscha, S.T.D. (Vienna, Austria, 3 Novemba 1820, Vienna – Schloss Kranichberg, Lower Austria, 5 Agosti 1911) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Vienna.
Alipokea daraja ndogo tarehe 31 Oktoba 1839, daraja la ushemasi mdogo tarehe 9 Julai 1842, na daraja la ushemasi tarehe 15 Julai 1842. Alipadrishwa rasmi tarehe 4 Mei 1843. Alisoma katika Chuo Kikuu cha Vienna, ambako alipata shahada ya udaktari wa teolojia mwaka 1849.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Acta Sanctae Sedis (PDF). Juz. la XXIII. 1890–91. uk. 705. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2021.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |