5 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Agosti ni siku ya 217 ya mwaka (ya 218 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 148.
Matukio
hariri- 1960 - Nchi Burkina Faso (kwa jina la Volta ya Juu) inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
hariri- 1758 - Go-Momozono, Mfalme Mkuu wa 118 wa Japani (1771-1779)
- 1916 - Peter Viereck, mshairi kutoka Marekani
- 1930 - Neil Armstrong, rubani mwanaanga kutoka Marekani
- 1936 - John Saxon, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1967 - Kazunori Yamauchi, muundaji wa michezo ya video kutoka Japani
- 1968 - Marine Le Pen, mwanasiasa wa Ufaransa
Waliofariki
hariri- 374 - Mtakatifu Nona, mama wa Gregori wa Nazianzo na watakatifu wengine wawili huko Kapadokia (Uturuki)
- 1957 - Heinrich Otto Wieland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927
- 1962 - Marilyn Monroe, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya kutabaruku Basilika kuu la Bikira Maria, na za watakatifu Memi wa Chalons, Paride wa Teano, Kasiani wa Autun, Nona, Emigdi, Venansi wa Viviers, Viatori wa Sologne, Oswadi wa Northumbria, Margerita wa San Severino n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |