Antz
Antz ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1998 nchini Marekani. Filamu ilitayarishwa na DreamWorks Pictures, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 2 Oktoba 1998.
Wkamahiriki wa sauti
hariri- Woody Allen kama Z Marion-4195 "Z"
- Gene Hackman kama General Mandible
- Sharon Stone kama Princess Bala
- Sylvester Stallone kama Corporal Weaver
- Jennifer Lopez kama Azteca
- Christopher Walken kama Colonel Cutter
- Danny Glover kama Staff Sergeant Barbatus
- Anne Bancroft kama Queen Ant
- Dan Aykroyd kama Chip the Wasp
- Grant Shaud kama The Foreman
- John Mahoney kama Grebs
- Jane Curtin kama Muffin "Muffy" the Wasp
Viungo vya Nje
hariri- Antz at the Big Cartoon DataBase
- Antz at the Internet Movie Database
- (Kiingereza) Antz katika Allmovie
- Antz katika Sanduku la Ofisi la Mojo
- Antz at Rotten Tomatoes
- Antz katika Metacritic
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antz kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |