Anubu mmonaki
Anubu mmonaki (karne ya 4 - karne ya 5) ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao.
Ni kati ya mababu wa jangwani ambao misemo yao imetunzwa katika maandishi pamoja na mingi ya mdogo wake Poemen [1].
Kwa kuwa hayajulikani mengi kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-anoub-of-skete/
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |