Aoraki
Milima ya Alps ya Kusini mwa New Zealand
Aoraki ni mrefu kuliko milima yote ya New Zealand wenye kimo cha mita 3,754 juu ya usawa wa bahari.
Kama milima yote 30 mirefu zaidi ya nchi hiyo, uko katika kisiwa cha kusini.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|