Orodha ya milima ya New Zealand

Orodha ya milima ya New Zealand inataja baadhi yake tu.

Aoraki (Mlima Cook) ndio mrefu kuliko yote ya nchi.

Milima mirefu zaidi iko yote katika kisiwa cha kusini, nayo ni:

  1. Aoraki (Mlima Cook) – m 3,754 - mlima mrefu kuliko yote ya New Zealand
  2. Mlima Tasman – m 3,497
  3. Mlima Dampier – m 3,440
  4. Mlima Vancouver – m 3,309
  5. Mlima Silberhorn – m 3,300
  6. Malte Brun – m 3,198
  7. Mlima Hicks – m 3,198
  8. Mlima Lendenfeld – m 3,194
  9. Mlima Graham – m 3,184
  10. Torres Peak – m 3,160
  11. Mlima Sefton – m 3,151
  12. Mlima Teichelmann – m 3,144
  13. Mlima Haast – m 3,114
  14. Mlima Elie de Beaumont – m 3,109
  15. Mlima La Perouse – m 3,078
  16. Mlima Douglas – m 3,077
  17. Mlima Haidinger – m 3,070
  18. Mlima Magellan – m 3,049
  19. Mlima Malaspina – m 3,042
  20. Mlima Minarets – m 3,040
  21. Mlima Tititea (Aspiring) – m 3,033
  22. Mlima Hamilton – m 3,025
  23. Mlima Dixon – m 3,004
  24. Mlima Glacier – m 3,002
  25. Mlima Chudleigh – m 2,966
  26. Mlima Haeckel – m 2,965
  27. Mlima Drake – m 2,960
  28. Mlima Darwin – m 2,952
  29. Mlima Aiguilles Rouges – m 2,950
  30. Mlima De La Beche – m 2,950

Milima mingine maarufu ni:

Tazama pia

hariri
  1. 1.0 1.1 Kigezo:Cita web