Arapai ni sehemu ya makazi ya watu Mashariki mwa Uganda, kitongoji cha mji wa Soroti, katika Wilaya ya Soroti, mkoa mdogo wa Teso.

Ramani ya Uganda
majira nukta (1 ° 46 '48.00 "N, 33 ° 37' 30.00" E (Latitudo: 1.7800; Longitudo: 33.6250).

Mahali

hariri

Arapai ipo takriban kilomita 8 kwa usafiri wa barabara, kaskazini mwa wilaya ya katikati ya mji wa kibiashara wa Soroti kati ya barabara Soroti na Amuria katika Wilaya ya Amuria.[1]Mahali hapa ni takriban kilomita 245 sawa na maili 152, kwa barabara kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa Uganda Kampala.[2].Majira nukta ya Arapai ni:( 1 ° 46 '48.00 "N, 33 ° 37' 30.00" E (Latitudo: 1.7800; Longitudo: 33.6250).

Idadi ya watu

hariri

Mpaka kufikia Desemba 2013 idadi kamili ya Arapai haijulikani hadharani.

Marejeo

hariri