Ararat (kwa Kiarmenia: Արարատ; zamani uliitwa Davalu) ni mji uliopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Ararat, takriban km 42 kutoka mjini kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Hapa ndipo katikati ya sekta ya ujenzi na kituo cha reli.

Makumbusho ya vita vya pili vya dunia, Ararat

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ararat, Armenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.