Archibald MacLeish

Archibald MacLeish (7 Mei 189220 Aprili 1982) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara mbili: 1933 na 1953. Tena alipata Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mwaka wa 1959 kwa ajili ya tamthiliya yake J.B..

Archibald MacLeish
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Archibald MacLeish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.