Artashat

Artashat (Kiarmenia: Արտաշատ; Kigiriki Artaxata: au Ἀρτάξατα) ni mji uliopo kwenye eneo la Moto Araks katika bonde Ararat. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Ararat huko nchini Armenia. Huu ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Armenia, leo hii Artashat ni moja kati ya sehemu ya miji ya kisasa nchini Armenia. Jina la mji linatokana na lugha ya Kiirani ikiwa na maana ya “furaha ya Asha.”[1] Idadi ya wakazi wa mjini hapa imekadiriwa kuwa 35,100.

Moja ya sehemu ya mlima Ararat

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. (Armenian) Tiratsyan, Gevorg. «Արտաշատ» (Artashat). Soviet Armenian Encyclopedia. vol. ii. Yerevan, Armenian SSR: Armenian Academy of Sciences, 1976, pp. 135-136.

Soma zaidiEdit

  • (Kifaransa) Arakelyan, Babken N. "Les fouilles d'Artaxata: Bilan Provisoire." Revue des Études Arméniennes. Volume 18, 1984, pp. 367–395.
  • (Kirusi) "Основные результаты раскопок древнего Арташата в 1970-73 гг." Patma-Banasirakan Handes. № 4, 1974.
  • Kigezo:Hy Yeremyan, Suren T. Հայաստանը ըստ «Աշխարհացույց»-ի (Armenia According to the Ashkharatsuyts). Yerevan, Armenian SSR: Armenian Academy of Sciences, 1963.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Artashat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.