Arthur (mchezaji mpira)

Arthur Augusto de Matos Soares (alizaliwa 17 Machi 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazili, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Brazil.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur (mchezaji mpira) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.