Artvin ni mji uliopo kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, ambao pia upo katika Mto Çoruh karibu kabisa na mpaka wa nchi ya Georgia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Artvin.

Mji wa Artvin.

Jiografia

hariri

Artvin ya leo

hariri

Kama jinsi iliyo miji mingi ya Uturuki tangu miaka ya 1970 Artvin ukikuwa ukionekana kutodhibitiwa mfumo wa ujenzi mzuri na majengo na ofisi za serikali zipo mbaya kabisa kiasi kwamba imeondoa vivutio vyote vya kihistoria katika mji huo. Pia inaaminika kwamba mji wa Artvin kamwe hautokuwa mji mkubwa, utabaki kuwa kamji ka mkoa tu.

Kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kulikuwa na Warmenia wengi tu waishio mjini Artvin, leo hii idadi kubwa ya wakazi wa Artvin imekuwa mchanganyiko, wakiwemo Waturuki, Wageorgia, Walaz na Wahamsheni.

  • 2000 23.157
  • 1997 20.073
  • 1990 20.306
  • 1985 18.720

Sehemu za vivutio

hariri
  • Artvin au Livana (Livane) ngome kubwa, ilijengwa mnamo 937

Kuna majengo kadhaa ya Dola la Osmani na nyumba za umma zikiwemo na:

  • Msikiti wa Salih Bey, ulijengwa mnamo 1792
  • Chem chem ya Çelebi Efendi, imejengwa mnamo mnamo 1783.

Na juu ya mizunguko ya mji mzima unatoa sehemu nyingi za kuapalamia juu ya milima.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Artvin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.