Mkoa wa Artvin

Artvin ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika pwani ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa kona ya nchi, kwenye mpaka wa nchi ya Georgia.

Flag of Turkey.svg Mkoa wa Artvin
Maeneo ya Mkoa wa Artvin nchini Uturuki
Artvin districts.png
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 7436 (km²)
Idadi ya Wakazi 191,934 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 08
Kodi ya eneo: 0466
Tovuti ya Gavana http://www.artvin.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/artvin
Msikiti wa kati wa Artvin

Mji mkuu wake ni Artvin.

Wilaya za mkoani hapaEdit

Mkoa wa Artvin umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Artvin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.