Asia ya Mashariki
(Elekezwa kutoka Asia mashariki)
Asia ya Mashariki ni kanda la bara la Asia linalojumuisha takriban 15% za eneo la bara lote.
Nchi zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu za Asia ya Mashariki:
- China (pamoja na Hong Kong na Macau)
- Jamhuri ya China (Taiwan)
- Korea Kaskazini
- Korea Kusini
- Japani
- Mongolia
Kiutamaduni nchi hizi zote zimeathiriwa na China jinsi inavyonekana katika maandishi, falsafa ya Konfutse, Ubuddha wa Mahayana na mtindo wa kula kwa kutumia vijiti.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Asia ya Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |