Assita Kanko

Assita Kanko (alizaliwa Godyr, Burkina Faso, Julai 14, 1980) ni mwandishi wa habari wa Ubelgiji, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa ambaye alichaguliwa kuwa mwanachama wa Bunge la Ulaya mwaka 2019 linalowakilisha chama cha New Flemish Alliance.[1].

Assita Kanko

BiografiaEdit

Kanko alifanyiwa ukeketaji akiwa mtoto.

Kanko pia amefanya kazi shirika la AHA Foundation lililoanzishwa na Ayaan Hirsi Ali lenye lengo la kupambana na ukeketaji kwa wanawake, ndoa za kulazimishwa na ukiukwaji wa haki za binadamu.[2], Baada ya mauaji ya mwandishi wa habari mwenye ushawishi Norbert Zongo, alisoma uandishi wa habari na akawa mwanaharakati wa haki za binadamu.[3] baadae alihamia Uholanzi mwaka 2001 ili kujifunza uandishi wa habari na baadaye akaishi Brussels. Akawa raia wa Ubelgiji mwaka 2008..[4]

MarejeoEdit

  1. News, Flanders (27 May 2019). Far-right and far-left gains in Belgian European Parliament elections. Iliwekwa mnamo 10 June 2019.
  2. Survivor of FGM, Assita Kanko, Fights for Human Rights for Everyone (27 May 2019). Iliwekwa mnamo 16 September 2019.
  3. Alleen Elvis blijft bestaan - Assita Kanko | VRT NU (in Dutch), retrieved 2019-12-14 
  4. Assita Kanko: "Almost ten years Belgian and I am still waiting for the party" (15 January 2018). Iliwekwa mnamo 16 September 2019.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Assita Kanko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.