Athribis

Jiji lililopo ukanda wa chini wa Misri

Athribis (kwa kiarabu: أتريب; kwa kigiriki:Ἄθρριβις, kwa kimisri Hut-heryib, kikoptiki: Ⲁⲑⲣⲏⲃⲓ[1]) ilikua ni jiji la Kala lipatikanalo ukanda wa chini wa Misri. Hivi sasa linapatikana Tell Atrib, kusini mwa Benha kwenye milima ya Kom Sidi Yusuf. Mji huo upo kilometa 40 kaskazini mwa Cairo, mashariki mwa ukingo wa tawi la Damietta lipatikanalo Nile. Eneo hilo lilichukuliwa zama za Ptolemaic, Roman na Byzantine[2].

Marejeo

hariri