Azimio la Vienna na mpango wa utekelezaji
(Elekezwa kutoka Azimio la Vienna)
Azimio la Vienna na mpango wa utukelezaji lijulikanalo kama VDPA (Vienna Declaration and Programme of Action), ni azimio juu ya haki za binadamu lililopitishwa kwa makubaliano katika Mkutano wa Kimataifa juu ya Haki za Binadamu mnamo 25 Juni 1993 huko Vienna, Austria.
Wadhifa wa kamishna wa umoja wa mataifa wa haki za binadamu uliopendekezwa na azimio hili, ulianzishwa baada ya kutengenezwa kwa makubaliano namba 48/121 ya Mkutano Mkuu (United Nations General Assembly Resolution 48/121).[1]
Marejeo
hariri- ↑ "OHCHR - World Conference on Human Rights". www.ohchr.org. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikinews has related news: United Nations General Assembly votes to establish UN Human Rights Council |