Baba Rahman
Abdul Rahman Baba (anajulikana kama Baba Rahman; alizaliwa 2 Julai 1994) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa kushoto kwa Ligue 1 akiwa na klabu ya Reims, kwa mkopo kutoka katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Ghana.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ghana |
Nchi anayoitumikia | Ghana |
Jina katika lugha mama | Abdul Rahman Baba |
Jina halisi | Abdur Rahman |
Jina la familia | Baba |
Tarehe ya kuzaliwa | 2 Julai 1994 |
Mahali alipozaliwa | Tamale |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Kidagbani |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | fullback, centre-back |
Muda wa kazi | 2012 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 6 |
Ameshiriki | 2015 Africa Cup of Nations, 2017 Africa Cup of Nations, 2019 Africa Cup of Nations |
Kazi ya klabu
haririAlianza kazi yake katika klabu ya Dreams FC, alicheza katika Ligi Kuu ya Ghana na klabu ya Asante Kotoko.
Mnamo mwaka 2012, alijiunga na klabu ya Bundesliga Greuther Fürth, ambako alicheza takribani misimu miwili. Kisha akaenda katika klabu ya FC Augsburg kabla ya kujiunga na klabu ya Chelsea mwaka 2015 kwa ada ya £ 14,000,000.
Kazi ya kimataifa
haririRahman alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa mwaka 2014 na alikuwa sehemu ya kikosi chao ambacho walikuwa washindi wa pili katika Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka 2015.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baba Rahman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |