Bafu za Kisultani, Zanzibar

Bafu za Kisultani, Zanzibar ni bafu ndogo zenye muundo wa bafu za Uajemi zilizojengwa maalumu kwa ajili ya familia ya Sultani wa Zanzibar, Tanzania.

Zilijengwa ndani ya moja ya Majumba ya Beit al-Tahin - leo Shule ya Forodhani.[1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-14. 
  Makala hii kuhusu majengo ya kihistoria Zanzibar bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bafu za Kisultani, Zanzibar kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.