Open main menu
Bahari ya Azov

Bahari ya Azov ni bahari ya pembeni ya Bahari Nyeuri. Iko kati ya Ukraine, Urusi, Krim na Bahari Nyeusi. Eneo lake ni 39 000 км²

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Bahari ya Azov" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.