Bahari ya pembeni ni sehemu ya bahari kubwa fulani inayotengwa nayo kwa kiasi fulani cha nchi kavu, kama rasi, visiwa au funguvisiwa pamoja na miinuko iliyopo chini ya maji.

Mifano michache ni:

Bahari za pembeni za Atlantiki hariri

 
Bahari ya Eire (Irish Sea)

Bahari za pembeni za Mediteranea hariri

 
Bahari za Aegean, Adria, Ionia na Tyrrhenia

Bahari za pembeni za Bahari Hindi hariri

Bahari za pembeni za Pasifiki hariri

Bahari za pembeni za Bahari Aktiki hariri

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 James C. F. Wang (1992). Handbook on ocean politics & law. Greenwood Publishing Group. ku. 14–. ISBN 9780313264344. Iliwekwa mnamo 9 December 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Longhurt, Alan R. (2007). Ecological Geography of the Sea. Academic Press. uk. 104. ISBN 978-0-12-455521-1. Iliwekwa mnamo 13 December 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Andaman Sea, Encyclopædia Britannica
  4. Kara Sea, Encyclopædia Britannica
  5. Laptev Sea, Encyclopædia Britannica