Banks Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Northwest Territories (Kanada).

Kisiwa cha Banks

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 70,028, ila wakazi ni 114 tu.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Banks Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.