Bartosz Kurek

Kurek.jpg

Bartosz Kamil Kurek (amezaliwa Wałbrzych, 29 Agosti 1988) ni mchezaji wa mpira wa wavu huko Poland.Ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Poland na klabu ya mpira wa wavu ya Kipolishi, ONICO Warszawa.

Maisha binafsiEdit

Bartosz Kurek alikulia Nysa, Poland. Baba yake, Adam Kurek, alikuwa pia mchezaji wa mpira wa wavu. Kurek alicheza mpira wa kikapu katika ujana wake, lakini baadaye akaamua acheze mpira wa wavu.

Kurek anakaka yake mdogo, Jakub.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: