Bat-Ochiryn Bolortuyaa

Bat-Ochiryn Bolortuyaa (kwa Kimongolia: Бат-Очирын Болортуяа; alizaliwa 15 Mei 1997) ni mwanamiereka wa mitindo huru mwenye asili ya Mongolia.

Mwanamieleka Bat-Ochiryn Bolortuyaa
Mwanamieleka Bat-Ochiryn Bolortuyaa

Aliweza kushinda medali moja ya shaba kwenye Tukio la wanawake wenye uzito wa kilogramu 53 katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2020 yaliyotokea Tokyo, Japan[1]. Alishinda medali pia ya shaba katika mashindano ya mabingwa ya Kidunia ya Miereka. Pia alishinda medali mbili za shaba ndani ya Golden Grand Prix Ivan Yarygin iliyofanyika Krasnoyarsk, Russia.

Matokea Makubwa

hariri
Mwaka mashindano Eneo Matokeo Tukio
2019 Mashindano ya Mabingwa ya kidunia Nur-Sultan, Kazakhstan Raundi ya 3 Staili za pekee kwa uzito wa kilogramu 55
2021 Olimpiki ya majira ya joto Tokyo, Japan Raundi ya 3 Staili za pekee kwa uzito wa kilogramu 53
2021 Mashindano ya Mabingwa ya kidunia Oslo, Norway Raundi ya 11 Staili za pekee kwa uzito wa kilogramu 53

Maisha Ya Kazi

hariri

Mwaka 2019, Alishinda medali ya shaba ya uzito wa kilogramu 55 kwenye Mashindano mabingwa ya mieleka ya Ulaya chini ya umri wa miaka 23 yaliyofanyika Ulaanbaatar, Mongolia[2].Mwaka 2019 kwenye mashindanoi ya mabingwa ya Mieleka yaliyofanyika Nur-Sultan, Kazakhstan, alishinda medali ya shaba kwenye Tukio la wanawake wenye uzito wa kilogramu 55[3][4].

Aliiwakilisha Mongolia kwenye olimpiki ya majira ya joto huko Tokyo,Japan[5]. Oktoba 2021, alitolewa kwenye mechi ya kwanza kwenye Tukio wanawake wenye uzito wa kilogramu 53 katika mashindano ya mabingwa ya mieleka yaliyofanyika huko Oslo, Norway[6][7].

Marejeo

hariri
  1. IOC (2018-04-23). "Tokyo 2020 Summer Olympics - Athletes, Medals & Results". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
  2. https://uww.org/sites/default/files/2019-03/results_03_ulaanbaatar.pdf
  3. https://uww.org/sites/default/files/2019-09/nur-sultan_kz_final-book_1.pdf
  4. "Japan lead women's rankings but miss gold at World Wrestling Championships". www.insidethegames.biz. 1568823120. Iliwekwa mnamo 2021-12-02. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
  5. "Mongolia claim four women's wrestling berths at Tokyo 2020 Asian qualifier". www.insidethegames.biz. 1618071970. Iliwekwa mnamo 2021-12-02. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
  6. https://uww.org/sites/default/files/2021-04/results_04_almaty_tq.pdf
  7. https://uww.org/sites/default/files/2021-10/results_10_oslo.pdf
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bat-Ochiryn Bolortuyaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.