Open main menu

Nursultan ni mji mkuu wa Kazakhstan. Kuna wakazi 600,000 (mwaka 2004).

Nursultan
Nchi Kazakhstan
Nembo ya mji.

JinaEdit

Mji uliitwa kwa jina "Akmola" ukateuliwa mwaka 1997 kuwa mji mkuu badala ya Almaty. Jina jipya la "Astana" lilimaanisha "mji mkuu". Uhamisho wa mji mkuu umesababishwa na nia ya kupeleka makao makuu ya serikali katika moyo wa nchi ilhali Almaty iko kando kabisa, mpakani mwa Kirgizia. Mwaka 2019 jina limebadilishwa tena kuwa Nursultan.

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nursultan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.