Beano wa Ireland (pia: Beóán na Beyn) alikuwa Mkristo mkaapweke nchini Ireland, labda Mo-Béoóc wa Ros Cam[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Desemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. The one mentioned in the Life of St. Cathróe of Metz, commemorated on 16 December; he was often confused with Beano wa Mortlach. See Archibald Lawrie, Early Scottish Charters Prior to A.D. 1153, (Glasgow, 1905), no. IV, p. 230.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75390
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.