Beata Poźniak Daniels (amezaliwa Gdansk, Poland, 30 Aprili 1960) ni mwigizaji, mtengenezaji wa filamu na mwanaharakati wa haki za binadamu.

Beata Poźniak

Beata Poźniak
Amezaliwa 30 Aprili 1960
Gdansk
Kazi yake mwigizaji, mtengenezaji wa filamu na mwanaharakati wa haki za binadamu

Maisha hariri

Alipokuwa mtoto mchanga, Beata alilelewa kule Poland katika enzi za Ukomunisti, kisha akahamia Marekani akaanza kufanya kazi katika eneo la filamu na televisheni.

Alicheza kama Marina Oswald katika filamu ya Oliver Stone iitwayo "JFK". Baada ya hiyo filamu, Beata akaenda kufanya kazi na George Lucas katika filamu iitwayo "Young Indiana Jones Chronicles" na pia alikuwa mwanachama katika vipindi vya televisheni vya Melrose Place, "Mad About You" (pamoja na Helen Hunt) na Babeli 5 akicheza kama rais wa kike wa kwanza wa dunia. Jukumu hili kilimwezesha kusimulia kitabu mashuhuri sana cha "The Winter Palace: A Novel of Catherine the Great" kwa mchapishaji kuu duniani — Random House.

Kupitia sanaa yake yeye huzingatia majukumu ya wanawake katika jamii kwa kuchanganya mila na desturi za michezo ya kuigiza na baadhi ya uelezo kutumia ishara na jinsi ya kubuni yanayo husika na uhakika. Kazi zake Pozniak mara nyingi huibua mahitaji za mwanamke katika dunia ya leo na mandhari ya haki za wanawake, haki ya kijamii na historia ya wanawake. Mwaka 1994 Beata aliongoza kuanzishwa kwa muswada wa kwanza katika historia ya bunge Marekani (HJ Res. 316) kutambua Siku ya Kimataifa ya Wanawake nchini Marekani.

Beata mara nyingi huketi kwa chama cha Academy Television, Primetime Emmy Awards na amekuwa mtangazaji maarufu was IFP (Independent Featured Project West), "Independent Spirit Awards" na Jodie Foster, Brad Pitt, Johnny Depp na Anthony Hopkins. Yeye pia aliwasilisha tuzo kwa Audrey Hepburn baada ya kifo chake, katika Human Rights Film Festival iliyoungwa mkono na Umoja wa Mataifa.

Filamu alizozichezea hariri

  • 2014 "People on the Bridge"
  • 2010 "The Officer's Wife"
  • 2010 "Ojciec Mateusz"
  • 2009 "On Profiles in Courage"
  • 2007 "Zlotopolscy"
  • 2006 "Miriam"
  • 2006 "Cyxork 7"
  • 2004 "Freedom from Despair"
  • 2002 "The Drew Carey Show"
  • 2002 "Philly"
  • 2002 "Mnemosyne"
  • 2001 "Family Law"
  • 2001 "Mixed Signals"
  • 1999 "Enemy Action"
  • 1999 "Klasa na obcasach"
  • 1998 "Women's Day: The Making of a Bill"
  • 1997 "Pensacola: Wings of Gold"
  • 1997 "Babylon 5"
  • 1997 "Dark Skies"
  • 1997 "JAG"
  • 1995 "War & Love" aka "Heaven's Tears"
  • 1995 "A Mother's Gift"
  • 1994 "Psychic Detective"
  • 1993 "Melrose Place"
  • 1993 "Wild Palms"
  • 1993 "The Young Indiana Jones Chronicles
  • 1993 "Mad About You"
  • 1993 "Ramona"
  • 1992 "At Night the Sun Shines"
  • 1991 "Ferdydurke"
  • 1991 "JFK"
  • 1989 "Stan wewnetrzny"
  • 1989 "White in Bad Light"
  • 1987 "Vie en images"
  • 1986 "A Chronicle of Amorous Accidents"
  • 1985 "Hamlet in the Middle of Nowhere"
  • 1985 "Rozrywka po staropolsku"
  • 1984 "I Died to Live"
  • 1984 "Deszcz"
  • 1983 "Krolowa Sniegu"
  • 1983 "Lucky Edge" aka "Szczesliwy Brzeg"
  • 1982 "Klamczucha"
  • 1981 "Man of Iron"
  • 1981 "Zycie Kamila Kuranta"
  • 1979 "The Tin Drum”

Vitabu alivyovisomea hariri

[1]

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beata Poźniak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. http://www.booksontape.com/narrator/?id=156649