Beatrice Wanjiku
Msanii wa Kenya
Beatrice Wanjiku (alizaliwa katika eneo la Ngong Hills, 1978) ni msanii wa kujitegemea wa nchini Kenya katika sanaa za maonyesho, anayefanya kazi zake za sanaa mji mkuu wa nchini Kenya uitwao Nairobi.[1]
Maisha ya awali na elimu
haririBeatrice, baada ya kumaliza elimu yake ya shule ya msingi na shule ya upili, alijiunga katika chuo cha sanaa cha Buruburu Institute of Fine Arts, kilichopo eneo la Buruburu, karibu na mji wa kibiashara wa Nairobi, mwaka 2002.[2]
Marejeo
hariri- ↑ Margaretta Wa Gacheru (9 Novemba 2018). "Beatrice is Back". Business Daily Africa. Nairobi. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wilcox, Isabel (3 Novemba 2016). "Interview with Kenyan artist Beatrice Wanjiku". Happening In Africa. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Beatrice Wanjiku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |