Ben Nevis ni mlima ulioko Uskoti, wenye kimo cha mita 1,344. Ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa cha Britania.

Mlima Ben Nevis, upande wa Kusini

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ben Nevis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.