Benedict Kiroya Losurutia

Benedict Kiroya Losurutia (10 Oktoba 194816 Desemba 2007) alikuwa Mbunge wa Wilaya ya Kiteto katika mkoa wa Manyara, Tanzania.