Wilaya ya Kiteto ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kiteto ilihesabiwa kuwa 244,669 waishio humo. [1] . Idadi imeongezeka hivi kutoka 152,757 wakati wa sensa ya 2002.[2].

Mahali pa Kiteto (kijani) katika mkoa wa Manyara.

Kiteto imepakana na wilaya ya Simanjiro upande wa kaskazini, upanda wa mashariki na mkoa wa Tanga na upande wa kusini na magharibi na mkoa wa Dodoma.

Makao makuu ya wilaya yako mjini Kibaya.

Wenyeji ni hasa Wamasai.

Marejeo Edit

  Kata za Wilaya ya Kiteto - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Bwawani | Bwagamoyo | Chapakazi | Dongo | Dosidosi | Engusero | Kaloleni | Kibaya | Kijungu | Laiseri | Lengatei | Loolera | Magungu | Makame | Matui | Namelock | Ndedo | Ndirigishi | Njoro | Olboloti | Partimbo | Songambele | Sunya


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kiteto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.