Benjamin Ochan

Mwanasoka wa Uganda

Benjamin Ochan (alizaliwa 18 septemba 1989) mchezaji wa soka wa Uganda, ambaye anacheza katikia klabu ya Warriors na timu ya taifa ya Uganda.

Benjamin Ochan
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUganda Hariri
Jina halisiBenjamin Hariri
Tarehe ya kuzaliwa18 Septemba 1989 Hariri
Mahali alipozaliwaUganda Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoKCCA FC, Victoria University SC, Uganda men's national football team Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri

Kazi ya klabu

hariri

Ochan alijiunga na Chuo Kikuu cha Victoria Februari 2015 kilichopo Kampala Capital City Authority FC. Alisainiwa na klabu ya Warriors tarehe 14 Februari 2018.


Kazi ya kimataifa

hariri

mnamo januari 2014 kocha Milutin sredojevic alimuhitaji katika kikosi cha kwanza cha timiu ya taifa ya Uganda.


  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Ochan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.