Benki ya Amana

Amana Bank ni benki ya biashara katika Tanzania. Imesajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania, inayosimamia na kudhibiti benki za kitaifa.[1]

Benki ya Amana

Coordinates: 6°48′49″S 39°17′21″E / 6.813611°S 39.289167°E / -6.813611; 39.289167


Benki ya Amana
Makao Makuu2nd Floor, Golden Jubilee Tower, Ohio Street, Dar es Salaam, Tanzania

MahaliEdit

Makao makuu na tawi kuu la Amana Bank yako katika Jubilee Tower, karibu na Garden Avenue, katika jiji la Dar es Salaam Tanzania. [2]

MarejeoEdit

  1. Bank of Tanzania (30 June 2017). Directory of Banks and Financial Institutions Operating in Tanzania as of 30 June 2017 (PDF). Bank of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 2019-12-15.
  2. Kigezo:Google maps
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Amana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.