Benki ya Biashara ya Akiba
Benki ya Biashara ya Akiba ni benki ya biashara iliyopo Tanzania.
Benki hii imepatiwa leseni na Benki kuu ya Tanzania iliyo na mamlaka ya kuthibiti shughuli za kibenki Tanzania.[1]
Eneo
haririMakao makuu ya Benki ya Biashara ya Akiba yanapatikana katika jiji la Dar es Salaam.[2]
Umiliki
haririBenki ya Biashara ya Akiba inamilikiwa na watu binafsi pamoja na mashirika ya biashara yafuatayo, kufikia tarehe 31 Desemba 2016.[3]
Wamiliki wa Benki ya Biashara ya Akiba | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Marejeohariri
|