Beno Kakolanya

mchezaji wa mpira wa miguu

Beno Kakolanya ,(amezaliwa Mkoani |Mbeya]] 8 Julai 1993). Ni mchezaji wa Mpira wa miguu ambaye anacheza nafasi ya golikipa katika timu maarufu kutoka nchi ya Tanzania ambayo ni Simba .

Alisajiliwa kuitumikia Klabu hiyo kwa mkataba wa miaka 2 akiwa kama mchezaji huru baada ya kuondoka katika klabu ya Yanga SC kutokana na kutopata malipo yake. Kwa sasa anaitumikia klabu ya Simba, akiwa golikipanamba mbili nyuma ya Aishi Manula.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beno Kakolanya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.