Berito Kuwaru'wa

mwanamazingira kutoka Kolombia

Berito Kuwaru'wa ni mwanachama wa watu wa U'wa wa Kolombia. Alitunukiwa tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo mwaka 1998[1] kwa jukumu lake kama msemaji katika migogoro kati ya watu wa U'wa na sekta ya petroli.

Marejeo hariri

  1. Goldman Environmental Prize: Berito Kuwaru'wa Archived 2007-12-04 at the Wayback Machine (Retrieved on November 28, 2007)
  Makala hii kuhusu "Berito Kuwaru'wa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.